Chapter 1
SPOKEN WORD: HII-STORYBy: EDGAR
Wanasemanga let go of jana,And the more they said it ilikuwa jaba,That’s why,Ntakupea time machine mrudi nyuma kunielewa kwa upana,The European,WAR,Yani powers.
Ingia kwa matatu nikupeleke trip,Nikueleze mambo mawili matatu my pips,Nikupeleke 1933,Time babu alijificha on trees,Kumsave babu from rain na hizo chains,Kumsave babu from kuwa slave na hizo cians,Ju waliaanza na kutuweka cell sai wanadai kutuweka on sale,So skiza ju keys za magereza haziko juu ya meza, ziko juu kina wamenza walimake hii-story.
Indian Ocean slave trade walidhani sisi ni commodity,Sit down nikupe proper-tea,Vile walitake our property,Nikufunze history,Nikusimulie hii-story,Ya Jaramogi,Nikusimulie hii-story,Ya Dedan na kina mbogi,Nikusimulie hii-story,Ya Mekatilili…Ni make-it-clearly not foggy,So skiza ju keys za magereza haziko juu ya meza, ziko juu kina wamenza walimake hii-story.
Sikuongea tu history,But nikueleza hizo mystery,Kwa mistari,Tuliyotunga,Kupewa tasks,Kidogo wakakuja na tax,Walituen-slave design ya prisoner,Wakivaa designer clothes kama prince ‘Ona!’Wakitu-threaten na their everyday,SWORD,Yani knight in shining armor,Sasa wacha nikusimulie kuhusu babu,Ju ni juu ya his-story ndio na-live today,So skiza ju keys za magereza haziko juu ya meza, ziko juu kina wamenza walimake hii-story.
Wacha ni make-a-tale-really,Ju Mekatilili haku-run,Alirun resistance,Aka-raise instance,Ju hizi-stance…Ni zetu,Kina Koitalel Samoei wakastand ground,But alikuwa caught-at-lane na someone,Wamenza akasema “War imeanza!”Mkoloni aliodhani ni kuku tu na vifaranga,Hawakujua wako-loni…Yani debt,Mau Mau bado wana shoka,Walitupea shocker tukashangaa,Hawakujua Mekatilili ana nguvu za mapanga,Yani powers,Ama mapangale,Tukapanga-lane,Watufungue pingu na mkuki,Hawakujua sisi ni wakuu kama Bruce Lee,Ju tulijifunza karate,Na hatukuwa na car but tuli-attain,So skiza ju keys za magereza haziko juu ya meza, ziko juu kina wamenza walimake hii-story.
Dedan Kimathi,Alipatikana dead-and-kimradi,Babu amefungwa na pingu yani handcuffs,Akili yake imefungwa na pin-ngumu yani mind traps,Sun inashine lakini,Bado Mekatilili anawslap,Akiwambia ‘‘Listen son!’’Queen anadai ku-introduce,Slave trade,Babu ana-analyze,Shosh ana-lizwa,Aunty anatafuta mtoto wake mshort,Labda alikuwa shot,Na watu wale duni,Wa dunia hii,Sasa napanda jukwaa,Ju babu alikuwa,Ana-make history,Ju aunty alikuwa,Ana-solve mystery,Nami,Nilikuwa…Naandika mistari,Sasa wacha turudi kwa future,Ju baada ya usiku kucha,Huja asubuhi,So aim…Aim un-slaved,I’m un-slaved,I am un-salved,And you will be too,So skiza ju… Keys za magereza… Haziko juu ya meza… Ziko juu kina wamenza walimake hii-storia.